ANGALIA PICHA JINSI UMATI WA WATU ULIVYOJAA KATIKA KUMZIKA MSANII WA MUSIKI MARIAM KHAMIS - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » ANGALIA PICHA JINSI UMATI WA WATU ULIVYOJAA KATIKA KUMZIKA MSANII WA MUSIKI MARIAM KHAMIS

ANGALIA PICHA JINSI UMATI WA WATU ULIVYOJAA KATIKA KUMZIKA MSANII WA MUSIKI MARIAM KHAMIS














 
Kwa muda barabara ya Magomeni kwenda Sinza kupitia Tandale eneo la Somanga, Magomeni makuti, ililazimika kufungwa kwa magari ili kupisha umati mkubwa wa watu waliokuwa wakisindikiza mwili wa Mariam Khamis kwenda katika mahala pake pa mwisho duniani. Mariam ambaye alikuwa muimbaji wa
bendi ya TOT Taarab alijulikana sana kwa wimbo wake 'Paka Mapepe' alipoteza uhai wake jana katika hospitali ya Muhimbili, kutokana na matatizo baada ya kujifungua. Ukubwa wa umati ule ni kielelezo kikubwa kuwa marehemu alipendwa na watu. Mungu ailaze Roho yake pema peponi Amin
Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template