Pages

ANGALIA PICHA ZA MASTAA WA BONGO WALIOKWENDA KUMZIKA SHARO MILLIONEA; WEMA,STEVE NYERERE, JB,SAJUKI KING MAJUTO NA WENGINE WENGI!

 Wema Sepetu (kulia) na Jack wa Chuz wakishiriki mazishi ya marehemu Hussein Ramadhan Mkieti 'Sharo Milionea'.
 Yusuf Mlela (kulia) na Sajuki nao wakishiriki mazishi ya Sharo Milionea wilayani Muheza mkoani Tanga jana.…
 ...Ray Kigosi naye alikuwepo.
 Swaiba wa marehemu Sharo Milionea, mzee Majuto akiongea machache wakati wa mazishi hayo.
 Msanii H- Baba akishiriki kumzika marehemu Sharo MilioneaJUZI

 endelea kutembelea blog ya ujanatz
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando (kulia) akimkabidhi Rais wa Shirikisho
la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba ubani wa Airtel kwa ajili ya msiba wa marehemu Sharo Milionea.

No comments:

Post a Comment