Pages

BEN POL SOON KUFANYA COLLABO NA WALTER WA EBSS 2012


Msanii ambaye anatamba kwenye anga za RnB in Tzee Music Industry Benard Paul alias Ben Pol ambaye mpaka sasa ameshatoa hits kama “Nikikupata“, “Samboira“,” Number 1 fan” na sasa “Pete” huku akiwa ameshajinyakulia tuzo mbili mfufulizo za single bora za RnB kupitia tuzo za Kiliamanjaro Tanzania Music Awards {KTMA}.

Latest infoz kutoka kwa msanii huyu ni kwamba baada ya mshiriki wa Epiq Bongo Star Search 2012 kwa jina la Walter  Chilambo kuperfom  vizuri ngoma  yake ambayo inafahamika kwa jina la “Nikikupata” kwenye fainali za shindano ilo  mpaka Ben Pol alipoamua kwenda kumpa salute stejini.
Akichonga na BK Cop, Ben Pol alisema kutokana na uwezo ambao Walter Chilambo ameuonyesha hivyo atanatarijia kufanya naye collabo katika ngoma zake zinazofuata.

No comments:

Post a Comment