Pages

DAR ES SALAAM KUMENUKA ANGALIA PICHA NAMNA BAR ILIVYOVAMIWA NA WAGAMBO NA KUVUNJWA BILA HURUMA





Bi Matola akiwa haamini  kilichotokea.
WANYWAJI katika baa moja iliyoko Tazara Magorofani, Manispaa ya Temeke, walinusurika kifo, baada ya mgambo wa manispaa hiyo kuivamia na kuanza kuibomoa mnamo saa 8.30 usiku wa kuamkia leo.


Wavunjaji hao walifika eneo hilo bila hata kuongozana na  mjumbe wala mwenyekiti wa serikali ya mtaa husika na hawakuwa na barua yoyote  ya kuelekeza  uvunjaji wa baa hiyo ambamo kulikuwa na watu waliokuwa wakipata vinywaji.
                                      

No comments:

Post a Comment