Katika pitapita yangu leo, blog ya ujanatz nimekutana na picha hizi kwenye mitandao mbalimbali ya jamii. Tukio hili lilitokea katika kamakamta ya machangu mitaa ya buguruni Dar es salaam,
ombi; blog ya ujanatz tunaiomba serikali iwe na kawaida ya kufanya survey kwenye sehemu wanapojiuza madada zetu ili tupate kuwanusuru madada hao;
ukiwa kama mdau wa ujanatz. je unarai gani kuhusu swala hili?
No comments:
Post a Comment