Pages

HII NDO LIST NZIMA YA WASHINDI WA MTV EMA 2012; SI MCHECHO TAYLOR SWIFT NA JUSTIN BIEBER WATAMBAA KWENYE AWARD HIZO



 
Juzi usiku tuzo za MTV Europe Music zimetolewa jijini Frankfurt, Ujerumani.
Taylor Swift na Justin Bieber ndio waliotamba zaidi kwa kunyakua tuzo 3 kila mmoja ambapo Taylor alishinda Best Female, Best Live and Best Look.
Justin Bieber, hakuwepo kwenye tuzo hizo lakini alitengenezwa vichwa vya habari vingi weekend hii kwa habari kuwa ameachana na mpenzi wake Selena Gomez. Hata hivyo alishinda tuzo 3, Best Male, Best Pop na Best World Stage.ENDELEA KUTEMBELEA UJANATZ
List nzima ya washindi wa MTV EMA 2012:
Best Female
Taylor Swift
Best Male
Justin Bieber
Best New Act
One Direction
Best Song
“Call Me Maybe,” Carly Rae Jepsen
Best World Stage
Justin Bieber
Best Video
“Gangnam Style,” PSY
Best Rock
Linkin Park
Best Pop
Justin Bieber
Best Look
Taylor Swift
Best Alternative
Lana Del Rey
Best Hip Hop
Nicki Minaj
Best Live
Taylor Swift
Biggest Fans
One Direction
Best PUSH
Carly Rae Jepsen
Global Icon
Whitney Houston

No comments:

Post a Comment