HUU NDIYO MKWANJA ANAOINGIZA JACK WA CHUZI KUPITIA FILAMU - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » HUU NDIYO MKWANJA ANAOINGIZA JACK WA CHUZI KUPITIA FILAMU

HUU NDIYO MKWANJA ANAOINGIZA JACK WA CHUZI KUPITIA FILAMU


Kama ni mpenzi  wa kucheki filamu za Kibongo, haina shaka utakuwa unaifahamu orodha ndefu ya mastaa wa kike wanaofanya vizuri kwenye tasnia  hiyo.

Kwenye exclusive interview aliyofanya na mtandao huu mwishoni mwa wiki iliyopita staa wa Jumba la Dhahabu, Jaclyn Pentezel ‘Jack wa Chuzi’, amefunguka kuwa sasa anajihisi milionea kufutia mshiko havi anaingiza kwa mwaka kupitia  uigizaji.
Jack Wa Chuzi ‘super star’ wa muvi asiyekaukiwa matukio ameiarifu ......  kuwa sasa anauhakika wa kuingiza kiasi cha shilingi za kibongo milioni 18 kwa mwezi  kupitia malipo ya shilingi milioni 6 kwa kila muvi anayoigiza.

“Kwa sasa mtu akija na kazi yake sichezi chini ya shilingi milioni 6, ni kiwango ambacho ninaamini kiko kwenye hadhi yangu, ninafuraha kwa sababu sasa najihisi milionea”  alisema Jack wa Chuz.

Akiendelea zaidi Jack alisema kuwa sasa anauhakika wa kumiliki milioni 360 kwa mwaka endapo ratiba yake ya kucheza muvi 3 kwa mwezi haitabadilika.
Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template