BAADHI ya mastaa wa kike Bongo wakiwemo Irene Uwoya, Sauda Mwilima, Salma Salmin ‘Sandra’ na Zuena Mohammed ‘Shilole’ wamekitia doa kisomo kilichoandaliwa na msanii mwenzao, Steven Mangere ‘Nyerere’ kufuatia kwenda kinyume na taratibu za dini ya Kiislam.
Salma Salmin ‘Sandra’ akiwa ametulia wakati wa kisomo hicho.
Akizungumza na safu hii, ustadhi Juma Salum wa madrasa ya Kinondoni jijini Dar alisema, alichokifanya Steve Nyerere ni kitu kizuri ila kuna baadhi ya mastaa wa kike wameitia doa…Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ aliyeandaa kisomo hicho.
Hivi karibuni Steve Nyerere aliandaa kisomo na kuwaita maustadhi pamoja na wasanii wengine lengo likiwa ni kuwaombea mastaa waliotangulia mbele ya haki pamoja na kuondoa mikosi na balaa kwenye tasnia ya filamu Bongo.
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !