Pages

Msanii wa bongo movie Mlopelo afariki Dunia

Mllopelo katika moja ya maigizo yake.
Muigizaji mahiri ambaye alikuwa anatamba katika kundi la Kaole Sanaa Group Mlopelo aamefariki dunia siku ya jana.
Inasemekana Chanzo cha kifo chake ni maradhi ya muda mrefu.
Mlopelo mara nyingi alikuwa anaigiza kama zezeta la msukule na kujipatia umaarufu mkubwa kutoka kwa wapenzi na tamthilia za kitanzania ambazo mara nyingi zilikuwa zinaonekana kupitia ITV na Channel Ten

No comments:

Post a Comment