Mie Sisemi Kitu nimezikuta Picha hizi Mtandaoni Baada ya Ney wa Mitego jana kusema kuwa hana uhusiano Na Nisha ,Sasa Sijui Zimevujaje ? Ney wa Mitego ni mwanamuzi Ambae Siku za Karibuni Amepata umearufu kwa Kuwapa Vidogo Wasichana wa Bongo Movies Kuwa ni Malaya Wenye Viwango ...Sasa kumbe mwenyewe nae Anaponea Humu humu..Or Is It a Movie?.Wasemaje Kuhusu Hili? tupia comments Zako hapo chini.
No comments:
Post a Comment