Mwanamuziki mwenye jina kubwa na linalo tikisa kwenye anga za muziki kwa sasa Rihanna ameacha gumzo nchini Ujerumani kutokana na kivazi alichovaa
Alipopanda jukwaani Rihanna kwa mara ya kwanza alivaa top nyeusi ambayo mbele ina nakshi na mchoro wa jani la bangi, vazi hilo lilisababisha msanii huyo kuwa gumzo katika mji wa Berlin kwa kuwa wengi walijiuliza kwa nini avae nguo yenye maneno hayo
Mbali na kuvaa hivyo Rihanna alionyesha maungo yake alipopanda tena jukwaani kwa mara ya pili baada ya kuvaa nguo iliyokuwa inaonyesha sehemu kubwa ya mwili wake
No comments:
Post a Comment