Hapa Diamond akiwa amefika eneo la tukio....akiwa na Mose Iyobo pamoja na Romy J kwaajili ya kurecord kipindi cha The Mboni Show |
Tukisalimiana na George Tyson Director wa Kipindi cha The Mboni Show |
Uwa najiona pasipo kumuomba Mwenyzi Mungu kabla ya kufanya chochote... Najiona siwezi kufanya vizuri wala kutimiza lengo lango. |
Hapa Mboni Masimba akipitia baadhi ya mambo kabla ya kuanza kipindi... |
Tukiwa kwenye kipindi... |
Picha ya Pamoja nikiwa na Mboni & Rj |
Baada ya show kulizika Hali ilikuwa hivi.... |
No comments:
Post a Comment