Pages

Umoja wa Tanzania Ujerumani (UTU) Wasanii wa Ngoma,kwaya na Sarakasi wanahitajika


UTU.jpg

    Umoja wa watanzania Ujerumani,unafuraha kutoa wito kwa wasanii
    wa Tanzania wanaoishi nchini Ujerumani,wenye vipaji vya kupiga na
    kuchenga ngoma za kiasili,sanaa za maonyesho kama sarakasi,
    na waimbaji wa kwaya ,kujitokeza hili kuunda kikundi cha ngoma za
    kiasili,Wasanii tunawaomba muwasiliane na Mwenyekiti wa UTU
    namba ya simu +49(0)1734298997.
    Wasanii wa Tanzania mnaoishi Ujerumani mnaombwa kutokalia
    vipaji vyenu majumbani,tafadhalini tumieni nafasi hii kujitangaza
    Kuutangaza utamaduni wa nchi yetu.mfano mnauona kwa wanamuziki
    wa dansi wanajitangaza.
    Wasanii tumieni nafasi ,jitokezeni kwa wingi kuunda kundi.
    Umoja ni Nguvu
   Mfundo Peter Mfundo
   Mwenyekiti(UTU)
   email. kamati.utu@gmail.com      simu 01734292997

No comments:

Post a Comment