Raque wa I-View mepata mtoto wa kike mwaka huu |
Dogo amidu pia amepata mtoto wa kiume na kumuita Herry jina la rafiki yake Blue |
Afande sele alipata mtoto wa kike na kumuita Asantesana |
Mtoto wa ROMA anaitwa Ivan |
Mtoto wa DJ Choka anaitwa Harrison |
Mtoto wa Blue anaitwa Herry akiwa na mama yake |
Kylnn pia alibahatika kupata watoto mapacha mwaka huu |
Barnaba pia amebahatika kumpata Stive katika mwaka huu |
AT pia amebahatika kupata mtoto wa kike mwaka huu |
Shetta pia amepata bahati ya kumpata Qayllah |
Ney wa Mitego pia amepata mtoto wa kiume mwaka huu |
Sugu amepata mtoto wa kike mwaka huu na kumuita Sasha |
Mtoto wa Sugu |
P-Funk majani amepata mtoto wa kike anaitwa Pavin |
Mtoto wa muimbaji Pipi anaitwa Kingstone |
Mdogo wake Profesa Jay, Simple X pia amepata mtoto wa kike anaitwa michele |
No comments:
Post a Comment