Pages

ANGALIA PICHA ZA TASWIRA za Hukumu ya Lema Akirudishiwa Ubunge Na Mahakama Ya Rufaa 21/12/2012



 Lema,Mbowe na nassari mahakamani
 Mawakili wakiwa kwenye viti vyao
 Hawa ndiyo waliokuwa wamefungua kesi dhidi ya lema
 Mahakamani,lissu,nassari,mwenyekiti mbowe na kilewo wakiteta na mke wa lema
 Lema akianza kutoa hotuba fupi baada ya kutoka mahakamani.kulia ni joshua nassari
 Vitalisi kimomogoro,wakili wa lema.huyu ndiye amekuwa na kesi hii tangu kuanza
 Tundu lisu,mtetezi wa lema.aliingia baada ya kesi kufika mahakama ya rufaa.ameshangiliwa sana

 Askari wakisindikiza msafara wa wafuasi wa CHADEMA
 hapa lema akiwa na kilewo wakati wa maandamano ya kutoka mahakamani kuelekea makao makuu ya chadema

 Baada ya Godbless Lema kushinda ubunge wake jijini dar es salam huko arusha ni furaha katika makundi mbalimbali,Vijana wamesimama katika makundi madogo madogo na wale waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda wakipiga hono mji mzima ambapo watu maweacha kufanya shugulu zao na kujadili ushindi wa mbunge wa jimbo hilo la arusha mjini.hali ni shwari kabisa..
 Hapa ni eneo la wafanyabishara ndogondogo  almaarufu kama wamachinga wakiwa eneo la viwanja vya NMC
 Shamra shamra nyingi kwa kweli



No comments:

Post a Comment