Wengi tulio wengi tutakua hatuna uhakika na stori zinazoendelea kusambaa kuhuiana na eti bierber kafariki dunia ila ..katika pita pita mitandaoni hatukuwezeza kuthibitisha habari hiyo japo kuna site moja ambayo iliandika yafuatayo hapo chini...
Japo taarifa hizi zilipatikana katika mitandao isiyo rasmi hivyo kutupa hofu ya
uhakika
kuwa ni kweli bierber kafariki kwa ajali
kiukweli hasa huu ni uvumi ambao wasaniiw engi huzushiwa kuwa wamekufa wakati
sio
kweli.na hii ni mara ya pili bierber anazushiwa kufa mitandaoni
No comments:
Post a Comment