Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ akiwa na baba yake mzazi, Abubakar Chende.
Baba yake Dogo Janja ambaye alikuja kumtembelea mwanaye hivi karibuni jijini Dar akitokea mkoani Arusha, alisema licha ya kufurahishwa na maendeleo ya mwanaye chini ya uongozi wa Ostaz Jumanamusoma, kikubwa amemsihi asije akajaribu kuvuta sigara.“Mimi navuta kwelikweli, lakini mwanangu sitaki kusikia hata siku moja unavuta sigara kwani si nzuri kabisa,” alisema baba Dogo Janja.
No comments:
Post a Comment