FLAVIAN MATATA ATWAA TUZO YA AFRICAN DIASPORA AWARDS 2012 HUKO NEW YORK
HONGERA NYINGI SANA kwa Flaviana Matata kwa kushinda tuzo la African Diaspora Awards huko New York Marekani kwa kazi yake nzuri ya kijamii na kwa kuwakilisha vyema bara la Africa kimataifa! Congrats Flaviana - we are VERY PROUD OF YOU!
No comments:
Post a Comment