Kushoto ni Dean of the student akimfundisha blogger wa Ujanatz kuvaa joho
mablogger wanne tukigraduate pamoja katika chuo cha uhasibu arusha kushoto ni mmiliki wa blog ya dj sek, anayefata ni Ally Salim mmiliki wa blog ya The Choice tz, halfu tesha mmiliki wa blog ya audiface jackson then mzee wa ujanatz bwana hussein rashid.
No comments:
Post a Comment