Mshindi wa shindano la kumtafuta Miss Tanzania, Brigitte Alfred, hapo jana alipewa gari lake aina ya Noah katika ofisi ya Lino International Agency Limited zilizopo Mikocheni jijini D’salaam. Brigitte alisindikizwa na Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bw. Bosco Majaliwa.
No comments:
Post a Comment