Miss Universe 2012 kutoka USA Olivia Culpo ambae ameifanya Marekani kuchukua hilo taji, mara ya mwisho ilikua miaka 15 iliyopita ambapo mwaka huu zaidi ya nchi 80 zilishiriki.
.
Miss Brazil Gabriela Markus.
Irene Sofia Esser Quintero of Venezuela is named a top 16 finalist.
Miss Australia Renae Ayris, left, Miss Russia Elizabeth Golovanova, Miss Brazil Gabriela Markus na Miss France Marie Payet.
Miss Australia Renae Ayris is named a top 10 finalist.
Hapa ni Miss Philippines Janine Tugonon na Miss USA Olivia Culpo wakisubiria maamuzi ya mwisho ya majaji kuhusu mshindi.
No comments:
Post a Comment