TI AFUNGUKA;T.I ASEMA WASANII WALIOMFARIJI AKIWA JELA NI WATANO TU
T.I
Rapper T.I ameweka wazi wakati mgumu aliopitia wakati yupo jela na kusema wasanii kama Will Smith,Eminem, Puff Daddy,Busta Rhymes,Russell Simmons ndio walikuwa mstariwa mbele katika kumfariji kipindi alipokuwa akitumikia kifungo chake Jela.T.I aliendelea kusema Wasanii hao walikuja kunitembelea na kupiga simu mara kwa mara kuongea na mimi ,Kusema ukweli sikutegemea mtu mkubwa kama Will Smith atakuwa karibu na mimi wakati huu. Rapper T.I alihukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela mwaka 2010 baada ya kupatikana na hatia ya
No comments:
Post a Comment