Pages

YALOJIRI KWENYE"AFTER SKUL BASH 2012’ YAACHA GUMZO, DAR UFUKWE WA KAWE









WAPENZI wa burudani hususan wanavyuo, jana walipata kitu roho inapenda katika tamasha kubwa la wanavyuo lililofanyika ufukwe Mbalamwezi uliopo Kawe jijini Dar tamasha  ambalo liliitwa jina la kijanja, ‘After Skul Bash’.
Wadau hao waliofurika ufukweni hapo walikonga nyoyo zao kwa kupata burudani kutoka kwa wasanii wakongwe na chipukizi wenye vipaji ambao walipewa nafasi ya kuonesha maukali yao.

No comments:

Post a Comment