Shakira na mpenzi wake Gerard Piqué ambaye ni mchezaji wa mpira timu ya FC Barcelona ya Hispania wameachia picha kadhaa katika mtandao zinazoonyesha ujauzito wake wakati wakisherehekea ujio wa mtoto wao wa kwanza anayetarajiwa kuzaliwa wa kiume.
Shakira na mchezaji huyu wa FC Barcelona walikutana mwaka 2010, pale alipotokea kwenye music video ya Shakira, (waka waka, this time for Africa) ambao ulikua ndio wimbo wa kombe la dunia.

No comments:
Post a Comment