Pages

HABARI ZA FILAMU TANZANIA!Mpoki na Hemedy PHD ndani ya 90 minutes. stori kamili hii hapa



Muigizaji wa filamu nchini, Hemedy Suleiman aka PHD hivi karibuni ataingia location kushoot filamu mpya iliyopewa jina la 90 Minutes (Dakika 90).Katika filamu hiyo ya comedy, Hemed ataigiza na Mpoki.



“Nimepewa movie inaitwa 90mnts..soccer comedy movie!!…mimi captain team ya mabishoo…mpoki captain team ya wagumu…daaah!!najiona RONALDO,” alitweet PHD.


Akijibu swali  kuhusu wasanii gani wengine wataokuwa kwenye filamu hiyo na lini wataanza kushoot, Hemedy alijibu, “ndio casting inatengenezwa…so far hiyo ndio info najua from the producer..More info will alert you..location February.”

No comments:

Post a Comment