KULIA BLOGGER WA UJANATZ WITH MY LOVED FREINDS KATIKA SIKU YA GRADUATION
Ndugu wasomaji wa blog ya ujanatz nina furaha kubwa kuwaambia kuwa siku kama ya leo mnapo tarehe 18/01/1989 ndipo siku nilioletwa duniani na mama yangu mpendwa Mariam Abdillah.My short History.
place of birth ; Tanga Town
date of Birth; 18/01/1989
Education level!
nimesoma shule ya primary; Poptalal English Medium Primary School
secondary level; Kirinjiko Islamic Secondary School
Advanced; Ubungo Islamic High Scool
college; Institute Of A ccountancy Arusha
For know im Holding Advanced Diploma In computer Science'
JOB DESCRPTION
Self Employed
But still im looking for the Job if you have one unaweza kunipa
thank u for reading
No comments:
Post a Comment