Pages

LIVE ANGALIA PICHA MAELFU WA WATU WATOKEA KUMZIKA SAJUKI KATIKA MAKABURI YA KISUTU DAR ES SALAAM LEO TAREHE 04/01/2013

Umati wa watu uliojitokeza hapa katika makaburi ya kisutu upanga kumpumzisha mpendwa wetu Sajuki.
Umati wa watu uliojitokeza hapa katika makaburi ya kisutu upanga kumpumzisha mpendwa wetu Sajuki.
Photo: Mwili wa Marehemu Sajuki ndio unawasili sasa hivi.
Mwili wa Marehemu Sajuki ndio unawasili sasa hivi.
Photo: Picha ya msibani kwa Sajuki sasa hivi hapa Kisutu Dar, Profesa Jay na Mwana Fa ni miongoni mwa niliowaona.
Makaburini Kisutu Dar

No comments:

Post a Comment