Amie Neely (38) alikamatwa akiwa anafanya mapenzi na mwanafunzi wake huyo mwenye umri wa miaka 16. Inasemekana kuwa mwalimu huyo alikuwa akimtumia sms mara kibao na kumtege zaidi ya mara nne mpaka kijana huyo akaingia katika mtego wake na kuanza mahusiano yao.Inaelezwa kuwa walikuwa wakikutana mara kibao na kufanya mapenzi nyumbani kwa mwalimu huyo pindi mumewe anapokuwa safarini. Kukamatwa kwake kumesababishwa na Fumanizi la Mume wake ambaye alikuwa anafatilia nyendo zake, kupitia GPS ya simu yake aliweza kubaini alipo Mkewe na ndipo alipofika eneo la tukio akamkuta kabananishwa na kijana huyo. Kwa sasa mwalimu huyo yupo nje kwa dhamana ya Shilingi Million 25 za kitanzania au $ 15,000/= Na kesi yake ipo mahakamani. |
No comments:
Post a Comment