Pages

SAJUKI ALIJITABIRIA KIFO CHAKE, KAULI HIZI ZINATHIBITISHA HILO


Piga pale...! Sajuki (kulia) akiwa katika maandalizi ya filamu yake mojawapo kali wakati wa enzi za uhai wake.

Kabla ya Umauti kumfikia Muigizaji wa Filamu Tanzania Juma Kilowoko almaarufu kama Sajuki alijitabiria kifo chake kutokana na matamshi aliyokuwa akiyatoa ambayo yanaonyesha kuwa alikiona kifo chake hakipo mbali nawe.


Sajuki alianza kumwambia rafiki yake na Msanii mwenzake, Yusuph Mlela kuwa haitapita siku saba atakuwa amefariki. Sajuki alisema: "rafiki yangu Mlela, hazitapita siku saba nitafariki"


Pia Sajuki alimwambia Mke wake Wastara maneno haya dakika chache kabla ya umauti kumfika, alisema: "Wastara Mke wangu mimi sasa nakufa, ila usilie kabisa naomba uingalie familia"

No comments:

Post a Comment