Willow Smith pamoja na Mama yake, Jada Pinkett wameonekana huko Hawaii katika kisiwa cha Kauai wakila goodtym wakati kwa upande mwingine wa Family hii, Mshua mwenyewe, Will Smith akiwa kikazi zaidi ambapo yeye pamoja na Jaden wakiwa busy huko Japan na mishe za kuipromote movie yao mpya After Earth ambayo imepangwa kutoka mwezi Mei tarehe 31.
*The Smith's Boyz hustling and girls havin' good tym thing*
Kuhusu 'After Earth' Movie, Word is that kitaa kinaisubiri sana kwa hamu kutokana na mambo mawili makubwa, La kwanza likiwa ni kolabo ya baba na mtoto, na cha pili ikiwa ni story yake ambayo ni kisa cha wawili hawa katika mishe za kujiokoa baada ya kukwama duniani miaka 1000 baada ya binadamu wengine woote kutoweka.... Lets wait n' see the actual package [After Earth].
No comments:
Post a Comment