Maharusi Alex Kusaga na Mkewe Evelyn wakilisha keki ya upendo usiku huu ndani ya moja ya ukumbi wa hotel ya Serena jijini dar.
Ulifika wakati wa kufungua shampeni.
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Recho,Lina,Barnaba na Amin wakitumbuiza usiku huu kwa pamoja kwenye mnuso wa mdau Alex Kusaga kutoka mjengoni,Clouds Media Group.
Wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye mnuso huo wa nguvu.
Bibi harusi,Evelyne Julla akitoa tabasamu la nguvu na lenye furaha mara baada ya kuikamilisha ndoto yake ya kumpta mwenza wake wa maisha,Bwa.Alex Kusaga wa Clouds Media Group.
Maharusi wakizifurahia pete zao za ndoa mara baada ya mapumziko mafupi kabla ya kuingia mnusoni jioni ya leo ndani ya hotel ya Serena jijini dar.
Wakishoo love na mdogo wake Alex Kusaga,ambaye ni wifi ya bibi harusi.
kwa picha zaidi bofya read more
Maharusi wakionesha vyeti vyao vya ndoa mara baada ya kufunga harusi ndani ya kanisa la St.Immaculata,Upanga jijini Dar.
Maharusi wakila kiapo cha ndoa
Maharusi wakiwa katika sura za furaha kabisa wakitoka nje ya kanisa mara baada ya kutimiza ndoto yao ya kuishi pamoja,baada ya hapo usiku huu mnuso uko ndani ya Serena hotel.
No comments:
Post a Comment