Pages

BALOTELLI KUSHAKUCHA;MTUKUTU SUPA MARIO BALOTELL ATOA KALI ULAYA!, AWAKEBEHI REAL MADRID MBELE YA DORTMUND KESHO!!


Wakati miamba ya soka la Hispani, Real Madrid wakikabiliwa na kibarua kizito hapo kesho kuhitaji ushindi wa mabao 3-0 mbele ya nyuki wa kaskazini mashariki mwa Ujerumani, Borussia Dortmund, katika mchezo wa fainali ya pili ya Ligi ya mabingwa barani ulaya, mshambuliaji wa zamani wa Man City, sasa akikipiga AC Milani na timu ya taifa ya Italia “The Azzuri”, Mtukutu Supa Mario Balotell ametoa kali baada ya kumtumia mpenzi wake Mbelgiji Fanny Neguesha kuwakebehi Real Madrid kuelekea kipute cha kesho.
Balotell amesema ana imani kubwa Dortmund watafuzu hatua ya fainali na kama Real Madrid watawatoa katika mchezo wa kesho na kucheza fainali Wembley mwaka huu basi atawapa idhini ya kulala na mpenzi wake kwa usiku mzima.
Mgazeti ya Hispania ya AS NA Marca yamemkariri nyota huyo wa AC Milan akisema “Kama Real Madrid watafuzu fainali ya UEFA mwaka huu baada ya kufungwa 4-1, nitawaachia mpenzi wangu alale nao”.
All smiles: Mario Balotelli netted a penalty against Catania last night  
Akitabasamu: Mario Balotelli  akishangilia baada ya kuzamisha gozi kambani kwa njia ya mkwaju wa penato dhidi ya Catania usiku wa jana.
Love it: Fanny Neguesha has a tattoo expressing her love for the Italian striker  
Mpenzi wa Balottell  Fanny Neguesha ambaye amechora Tattoo ikieleza hisiza zake za kimapenzi kwa Balotell, endapo Madrid watafuzu mtoto mzuri yupo kwa ajili yao leo
Loved up: Balotelli and Neguesha's relationship has developed after the striker swapped Manchester for Milan
 Balotelli na Neguesha mahusiano yao yamejengeka zaidi baada ya nyota huyo kuihama City na kuhamia AC Milani.

Dortmund waliwatandika kipigo cha Mbwa mwizi Real Madrid huku Robert Lewandowski akipiga goli zote nne.Manchester United na Bayern Munich  zote zinaitaka saini ya Lewandowski.Cristiano Ronaldo ambaye alufunga bao moja la kufutia machozi wikiendi iliyopita alikosa mchezo wa timu yake dhidi ya Atletico Madrid kufuatia kuwa majeruhi, lakini leo amefanya mazoezi na kocha Mourinho amefurahishwa na kurejea kwa nyota wake.
Demolition job: Robert Lewandowski tore Real Madrid apart in the first leg  
Robert Lewandowski  atafanya nini Santiago Berbeu usiku wa kesho
Wager: Balotelli was quoted in Spanish papers making a strange bet ahead of the second leg

No comments:

Post a Comment