Pages

IRENE UWOYA ANASTAHILI PUNGEZI SOMA HAPA!

Pale panapostahili pongezi ni vizuri kuitoa! nimeangalia filamu 2 jana na leo filamu hizo ni Last Card yupo Irene Uwoya na Haji Adam(Baba Haji) na nyingine ni HATIA yupo Hisani Muya (Tino). katika hizi filamu mbili zote hazikuwa za kimapenzi na visa vyake ni vizuri ingawa HATIA ni nzuri zaidi. Ila kilichonifanya niandike hapa ni kumpongeza costume and make up artist wa HATIA maana amejitahidi sana kuwavalisha watu na kwapamba vizuri katika mazingira ya kijijini kuku mtu wa picha nae akijitahidi kumsaidia ili kuubeba uhalisia zaidi wa hayo maisha ya kijijini na waigizaji wa HATIA wengi wakiwa wameuvaa uhusika vizuri hasa Tino, Bi. Aisha na Jackson Kabirigi. Lakini katika Last Card Irene Uwoya aliyecheza kama polisi alikuwa kichekesho katika suala la make up na mapambo huku akishindwa kuuvaa uhusika kama polisi. Uwoya kwenye filamu amevaa weaving la rangi inayowaka tena la aina moja mwanzo mpaka mwisho wa filamu wakati matukio mengi ya upelelezi yanapita lakini yupo hivyo hivyo scenes zake zote zikionekana kama zimechukuliwa siku moja! Mbaya zaidi hilo weaving, alivyoonekana usoni na hereni zaidi ya moja katika sikio moja alionekana kama mahabusu badala ya kuonekana kama polisi. Wale wanaokuja kwa kesi ndio wangeitwa polisi. Uwoya alitakiwa kuwa kawaida sana kichwani tena kwa nywele zake halisi coz mapolisi wengi wa tanzania tunawaona wapo kawaida wakiwa kazini hata majumbani sio masista duu kivile kama Uwoya alivyokuwa. Kama ni nywele za bandia wengi husuka rasta na sio ma-weaving. Character ya Uwoya ilimtaka awe polisi mchapakazi na mwenye maadili huku akiwa wa kawaida but alivyoonekana hata aliyeongoza hiyo filamu inaonyesha hakuwa makini na kama sikosei ni Jacob Stephen(JB). In short Uwoya alionekana kama vile mtu ambaye alikuwa club usiku na asubuhi akakurupushwa akiambiwa utake usitake lazima uwe polisi. Katika hii filamu hakukuwa na make up wala costume designer kwa kumalizia tu. Picha hapo chini haitoki kwenye filamu hiyo bali ni mfano tu

NA MWANDISHI WETU TRIM SALEEM

No comments:

Post a Comment