Pages

ANGALIA PICHA 26 ZA AJALI LA BASISIMBA MTOTO KWA KUIGONGA PIKIPIKI

Tairi la pikipiki iliyonusurika kurudi lilipo tengenezwa

Trafiki wakipima ajali



Gari likikaguliwa kabla ya kuanza safiri

Piki piki Ikichukuliwa na Idara ya kupelekwa Garage. 

Kulia ni dereva wa basi hilo na konda wake



Trafiki wakisaidiana kupandisha pikipiki ya Idara ya maji. kwenye Gari



Hizi ndio namba za Basi liligonga piki piki

Basi hilo lenye namba za usajili .T57.5 BLN Leo majira ya saa  7:45AM liligonga pikipiki ya idara ya maji maeneo ya Mkwakwani Jijini TANGA wakati likielekea Dar es salaam hatimae safari kugailishwa na kuelekea kituo cha polisi mabawa baada ya hapo ndipo safari ya dar ikaanza. kwakweli abiri walikerekwa na swala hilo japo ni bahati mbaya halikua kusudio la dereva. 

Wananchi nao hawakukosekana kwenye swala hili

Picha na mwandishi wa masainyotambofu.blogspot.com   

NA BONGOCLANTZ.COM


No comments:

Post a Comment