Taarifa rasmi zinasema Kocha wa timu ya Manchester United Sir Alex Fergason Ameamua kustafu Mwisho wa Msimu,Tayari bodi ya timu hiyo imepokea taarifa toka kwa kocha huyo tayari kwa majadiliano ya kumtafuta mrithi wa kocha huyo aliyewapa mafanikio makubwa timu ya Manchester united kwa kipindi cha muda mrefu aliyokaa katika timu hiyo
No comments:
Post a Comment