Inaaminika kuwa Ms Maria Seguar-Metzgar Pichani mwenye umri wa miaka 105 yawezekana ndo mtumiaji wa Facebook mwenye umri mkubwa kuliko wote Duniani.Ms Maria alisherehekea siku yake ya kuzaliwa wiki iliyopita ya kutimiza miaka 105, huku akiwa na marafiki 86 kwenye Facebook.
No comments:
Post a Comment