Pages

New Song : My Love by Shekhan Mzaina


 Shekhan Mzaina
-----------------------
Anajulikana kwa jina la Shekhan Mzaina ni msanii toka Songea mkoani Ruvuma ameanza kazi hii ya tasinia ya Bongo Fleva  rasimi mwishoni mwa mwaka jana!
Msanii huyu kwa sasa ametoka na ngoma inayoitwa  My Love amerekodi Bigtouch Production Songea akimshirikisha  Fat B wakati  Beat imefanywa na Ather Maker na Mixing amefanya mwenyewe ndani ya Bigtouch
Anasema muziki ni kitu ambacho binafsi anakipenda  toka moyoni na tangu akiwa shule alikuwa akiimba kwaya mara kwa mara .
Kitu ambacho anakitalajia ni kufanya kazi za muziki wa bendi kwa bahati mbaya songea hajaona bendi ila kama kuna mtu yupo tayari kusimama pamoja na yeye ama Shamo Geng star kwa ujumla yupo radhi kufanya naekazi .
Ukiacha muziki pia amesoma uandishi wa habari katika ngazi ya cheti cha awali.  
 Wimbo ni huu hapa usikilize.

No comments:

Post a Comment