Video hizi hutolewa na big borther wenyewe kwa jamii kama sehemu ya shindano hilo....
Wahiriki wote wa big brother wanajua
ya kwamba jumba hilo limezingirwa na kamera kila kona.Kwa hiyo, kama
mtu ataamua kufanya ufuska au kukaa uchi basi ajue kamera zitamrekodi na
kumwanika hadharani....
Masharti hayo hujuzwa mapema kabla ya kuanza kwa shindano hilo...
Hakeem
Huyu ni mshiriki toka zimbabwe aliyepata bahati ya kuoga na dada yetu Feza ndani ya bafu moja
Feza
Huyu ni mshiriki toka Tanzania....Yuko ndani ya afu moja akioga na mshiriki wa Zimbabwe.....
Dakika chache baada ya kila mmoja kuoga kivyake,Hakeem anaamua kumuomba Feza amsugue mgongoni....
No comments:
Post a Comment