ANGALIA PICHA NAMNA MAMBA ALIVYOUA MWANAFUNZI JIJINI MWANZA HUKU AKIMALIZIA KULA MKONO WAKE - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » ANGALIA PICHA NAMNA MAMBA ALIVYOUA MWANAFUNZI JIJINI MWANZA HUKU AKIMALIZIA KULA MKONO WAKE

ANGALIA PICHA NAMNA MAMBA ALIVYOUA MWANAFUNZI JIJINI MWANZA HUKU AKIMALIZIA KULA MKONO WAKE




MWANAFUNZI mmoja Pascal Abudallah (14), wa Shule ya Msingi Nantare ameuawa na mamba kijijini hapo.

Afisa Mtendaji wa Kata ya Ngoma, Mwanza vijijini, Khamisi Ndaro amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na akaongeza kwamba kilitokea saa 1.30 usiku mwishoni mwa wiki iliyopita na tayari mtoto amezikwa kijijini hapo.


Aliongeza kuwa licha ya kifo cha mtoto huyo, baba mmoja aitwaye Mtimba Manyeye (64) naye alipoteza kidole cha mkono wa kushoto baada ya kushambuliwa na mamba akiwa kando ya Ziwa Victoria.

Aidha, Afisa Mtendaji Ndaro alisema wanyamapori wamekuwa wakisumbua wananchi na akatoa mfano wa nyani ambao wapo zaidi ya 1,000 nao wamekuwa  wakisumbua sana wakulima wa eneo hilo kwani wameharibu zaidi ya hekari 150 za mashamba yao, hivyo kuwafanya kukata…Aliongeza kuwa licha ya kifo cha mtoto huyo, baba mmoja aitwaye Mtimba Manyeye (64) naye alipoteza kidole cha mkono wa kushoto baada ya kushambuliwa na mamba akiwa kando ya Ziwa Victoria.

“Maofisa wa wanyamapori wamekuwa wakifanya msako lakini wanyama hao wanaendelea kuwa tishio kwa raia,” alisema Ndaro.

Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template