Kwa kawaida jarida lenye title ‘Men of the Year’ lingekuwa na picha ya mwanaume wa shoka akiwa katika pozi lake, lakini picha ya Queen Rihanna akiwa mtupu inaonekana kuvuka hii mipaka ya mawazo ya kijinsia kulipamba jarada la jarida hilo kwa pozi la kichokozi.
Katika hiyo picha RiRi anaonekana akiwa amepozi akiwa amevaa leather jacket kwa juu na kuacha sehemu nyingine zote bila pamba ya aina yoyote huku mkono wake ukipoz ‘somewhere.
Kwa kuwa katika hiyo page ya juu ya jarida hilo la ‘Men of The Year’ ‘the Diamond singer’ amesababisha liongezewe sentensi kwenye mabano na kusomeka ‘Man of the Year (And One Hot Woman), na the R&B singer anaonekana kuwapa kampani wanaume wa mwaka Channing Tatu,, Ben Affleck, Quentin Tarantino na Usain Bolt.
Rihanna hivi karibuni ameng’arisha majarida kadhaa kwa picha zake za utupu ambapo zilionekana kwenye ‘V Magazine’, akiwa amepozi na super model Kate Moss wote wakiwa watupu katika picha kadhaa.
soma zaidi
shdaaa
ReplyDeleteEnter your comment...kutisha
ReplyDelete