ANGALIA PICHA ZA MJA MZITO AKINASWA KWA UKAHABA HANA WASIWASI MWENYE MCHECK ANAVYOFKISHWA MAHAKAMANI! - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » ANGALIA PICHA ZA MJA MZITO AKINASWA KWA UKAHABA HANA WASIWASI MWENYE MCHECK ANAVYOFKISHWA MAHAKAMANI!

ANGALIA PICHA ZA MJA MZITO AKINASWA KWA UKAHABA HANA WASIWASI MWENYE MCHECK ANAVYOFKISHWA MAHAKAMANI!




MREMBO Sikujua Hassan, mwenye ujauzito unaokadiriwa kuwa na umri wa miezi sita, alinaswa akifanya ukahaba, Buguruni, Dar es Salaam.

Sikujua, alinaswa na polisi kisha kufikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Sokoine Drive, Dar es Salaam ambapo alikiri kosa la kujihusisha na ukahaba.
Baada ya kukiri kosa, Hakimu Mkazi, William Mutaki, alimhukumu kwenda jela miezi sita au kulipa faini ya shilingi 20,000.
Hata hivyo, Sikujua hakuweza kulipa faini, kwa hiyo aliamriwa kwenda gerezani pamoja na ujauzito wake.
Sikujua amepangiwa kutumikia adhabu hiyo kwenye Gereza la Segerea, Dar.
Watu mbalimbali waliokuwepo mahakamani hapo, walimsikitikia Sikujua kutokana na hali yake.

Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template