BREAKING NEWSS; SHARO MILLIONEA OOH MAMA! AMEFARIKA DUNIA - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » BREAKING NEWSS; SHARO MILLIONEA OOH MAMA! AMEFARIKA DUNIA

BREAKING NEWSS; SHARO MILLIONEA OOH MAMA! AMEFARIKA DUNIA

HABARI  za kusikitisha na kuaminika zilizo tufikia hivi punde na kuthibithishwa na Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Constatine Masawe  ni kwamba msanii mahiri wa uchekeshaji na mwanamuziki wa Bongo Fleva Sharo Millionea amefariki katika ajali ya gari kijiji cha Maguzoni Songa, Muheza mkoani Tanga ambapo pia ni nyumbani kwao. Tutaendelea kuwajulisha kadiri tutakavyopata habari zaidi.
Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template