DJ CHOKA ACHORA TATOO IKIWA NI HESHIMA KWA PROFESSA JAY - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » DJ CHOKA ACHORA TATOO IKIWA NI HESHIMA KWA PROFESSA JAY

DJ CHOKA ACHORA TATOO IKIWA NI HESHIMA KWA PROFESSA JAY


Dj maarufu ambaye kwa sasa ni msanii wa bongo flavour ambaye anafanya poa na ngoma yake “Pamoja we Can” akiwa amewashirikisha mastar mbalimbali in Tzee music industry.
Si mwingine ni Hugoline Mtambachuo alias Dj Choka kupitia his Official facebook account aliweza kupost picha inayoonyesha amechora tatoo ya heavy weight Mc in Tzee music industry  Professa Jay ikiwa na ujumbe usemao “Much respect to my brother PROF JAY, hii ndio tattoo niliyomaliza kuchora. ONE” na ndipo fans wake walipoanza kutoa comment zao kuhusu picha ya tatoo hiyo. Ndipo Dj Choka
alipoamua kupost ujumbe huu baad ya kusoma Comments hizo:
Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template