JUSTIN BIEBER ATAKA KURUDIANA NA SELENA - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » JUSTIN BIEBER ATAKA KURUDIANA NA SELENA

JUSTIN BIEBER ATAKA KURUDIANA NA SELENA





MWANAMUZI wa Pop na R&B, Justin Bieber anafanya kila awezalo kuhakikisha anarejesha furaha katika mapenzi yake na ,  Selena Gomez.

Tayari Justin ameshasema kuwa kwa sasa hafikilii kuwa na mtu mwingine zaidi ya mpenzi wake huyo.

Justine pia amekana kuwa na uhusiano na mwanamitindo Victoria's Secret, japokuwa wawili hao waliwahi kuonekana pamoja na kupiga picha.

Justin amesisitiza kuwa kwa sasa anataka kurejea kwa Serena na anafikili jambo hilo linawezekana kutokana na mazingira ya jinsi walivyoachana.

Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template