MFALME WA INYE BONGO(AUNT LULU) AFUNGUKA NGUO ZA NDANI ZAHARIBU MAKALIO - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » MFALME WA INYE BONGO(AUNT LULU) AFUNGUKA NGUO ZA NDANI ZAHARIBU MAKALIO

MFALME WA INYE BONGO(AUNT LULU) AFUNGUKA NGUO ZA NDANI ZAHARIBU MAKALIO



MSANII asiyeishiwa na matukio, Lulu Mathias ‘Aunt Lulu’ amefunguka kwamba kuharibika kwa mwili wake hasa kwenye makalio kumetokana na kuvaa nguo za ndani aina ya ‘bikini’ ambazo zimechimba mistari.
Lulu Mathias ‘Aunt Lulu’.
Akizungumzia tabia ya mastaa wengi kutokuvaa ‘makufuli’ wanapokuwa kwenye mitoko, Aunty Lulu alisema kuwa, hiyo inatokana na jinsi zinavyowaathiri sehemu zao ‘muhimu’ na kwamba yeye ni mmoja wa waathirika.


“Kwa kweli hizi nguo za ndani hasa bikini zinatuharibu sana hasa sisi tuliojaaliwa  kuwa na maumbile…
Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template