MUUMINI MWINJUMA AIKACHA TWANGA PEPETA - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » MUUMINI MWINJUMA AIKACHA TWANGA PEPETA

MUUMINI MWINJUMA AIKACHA TWANGA PEPETA





Muimbaji wa muziki wa Dansi Muumini Mwijuma 'Prince' ameikacha bendi ya African Stars 'Twanga pepeta' na kutimkia bendi ya Victoria Sound yenye makazi yake Mbagara, Dar es Salaam

Akizungumza jijini Dare es Salaam wakati wa utambulisho huo Mkurugenzi wa bendi hiyo ya Victoria Sound Daniel Mjema alisema kuwa wameamua kumuongeza muimbaji huyo kwenye bendi yao ili kuongeza nguvu na kuinua bendi hiyo iwe kama bendi nyingine

Alisema kuwa tumemchukua muimbaji huyu kwa mkataba wa miaka miwili na kazi kubwa atakayoifanya ni kuhakikisha anainua bendi bendi hii na kuifanya itambulike kama zilivyo nyingine kubwa, lakini pia kuwa na jukumu la kuchagua wanamuziki wakubwa wawili ili kujiunga na bendi hiyi
Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template