Biashara ya ngono imezidi kushamiri kila kukicha hapa nchini.....
Pamoja na jitihada zote za serikali kuwatia mbaroni makahabao lakini bado biashara hiyo haramu inazidi kuota mizizi......
Biashara hiyo haramu hufanywa nyakati za usiku na mchana kulingana na mazingira.
ENDelea kutembelea blog ya ujanatz
Mazingira ambamo biashara hiyo haramu hufanyika yanatia Aibu.......
Wapo ambao hufanyia GEST HOUSE, VICHAKANI, VICHOCHORONI, KWENYE TAX NA MAGARI MENGINE NA WENGINE KWA WALINZI MAARUFU KAMA KWA "BABU"........
Pamoja na kuyabaini mazingira ambamo uchafu huo htendeka, mtandao huu umefanikiwa kuzipata bei zao kama ifuatavyo:
1.KWENYE GARI-----------TSH. 20,000
2. KWA BABU.......................TSH. 15,000
3.GESTI----------------------TSH. 25,000
4. VICHOCHORONI--------TSH. 10,000
5. SHOTI TIME--------------TSH. 15,000
6.KULALA MPAKA ASUBUHI-----TSH.50,000
-----------------------------------------------------------------
Jamani tusiiachie serikali peke yake.Tushirikiane kuikomesha biashara hii haramu...........
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !