THIS IS DIAMOND THE PLATNUM; ANGALIA PICHA NAMNA Diamond Alivyoshinda tunzo ya Msanii Bora wa kiume 2012 Nzumari Awards Kenya - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » THIS IS DIAMOND THE PLATNUM; ANGALIA PICHA NAMNA Diamond Alivyoshinda tunzo ya Msanii Bora wa kiume 2012 Nzumari Awards Kenya

THIS IS DIAMOND THE PLATNUM; ANGALIA PICHA NAMNA Diamond Alivyoshinda tunzo ya Msanii Bora wa kiume 2012 Nzumari Awards Kenya


Nikitoa shukrani kwa mashabiki wangu kwa kuniwezesha kutwaa
Tunzo hiyo baada ya kupokea

 
 
Hapa nikifurahishwa na kustaajabu  jinsi wanamombasa walivyoiitikia na kuishangilia

Nataka Kulewa nilipojaribu kuiimba Chorous......

Nikifanya interview na KTN moja TV Station kubwa sana Kenya, baada ya kupokea tunzo
Nikiwa na Mh Suleiman Shahbal Governor mtarajiwa wa nchini Kenya


Huyu ndio Best Presenter of the year, Mzazi William Tuva toka Citizen Tv an Radio Kenya...
moja ya Mapresenter ambao wanaunyanyua sana mziki wa bongo flavor Africa
 
Na mwanangu "Kigeugeu" Jaguar....
naye ni mmoja ya wasanii ambao walipokea tunzo kwenye ghafla hiyo
Mnh! Moze iyobo tena..... ni kujiongeza tu
Hapa nikiwa na mwanangu Wello toka Kagomaz,
moja ya kundi la muziki mahiri nchini Kenya wenye makazi yao Malindi na Nairobi...
Pia hivi sasa ni Assistant Director wa kampuni ya Next Level iliyo chini ya Adam juma...

mnh! kunambi tena.....
Brian Zungu toka I-View Media akiwa na Jaguar
Redcarpetin kulikua hivi sasa
Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template