YALIYOJIRI KATIKA MAANDALIZI VIDEO YA BARNABA - HABARI ZA MPEKUZI BLOG, BOSS NGASSA, RAHATUPU BLOG AND BONGOCLANTZ
Headlines News :
Home » » YALIYOJIRI KATIKA MAANDALIZI VIDEO YA BARNABA

YALIYOJIRI KATIKA MAANDALIZI VIDEO YA BARNABA


\
Akiruka juu ya gorofa, ilikuwa ni kitendo cha kuogopesha ila kilifanikiwa kwa dakika kadhaa, ameamua kujirusha gorofani kwa kuchoshwa na maisha, ni Script ndio ilikuwa inataka hivyo, hivyo Barnaba ilibidi afanye hivyo ili kuleta uhalisia wa video na maisha ya kawaida ya binadamu anayoishi kila siku
Hii nayo ilihusika hawa ni baadhi ya washiliki waliocheza katika video hiyo hapa wanaonekana wakiwa wanagombania vitu ambavyo vinarushwa na Barnaba kutoka juu ya gorofa


M sorry ndio jina la wimbo, hichi ni baadhi tu ya kipande cha karatasi kilichobeb ujumbe huo


Akiimba kwa hisia juu ya gorofa 
Crew ya Visuar Laber wakiwajibika kuhakikisha video inatoka kimataifa 
Hali hii imetokea baada ya kuona jua limezidi kuwa kali ndipo walipoamua kutafuta njia mbadala ya kupambana na jua hilo
Share this article :

0 comments :

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Random Post

ARUSHA
 
Template Design by Creating Website Published by Mas Template