Leo asubuhi kumetokea hali ya kutokuelewana kati ya kocha Roberto Mancini na mchezaji toto tundu Mario Balotelli kiasi cha kufikia kushikana mashati na kutaka kupigana kama isingekuwa kuamuriwa na wachezaji wengine. Chanzo cha ugomvi wa wawili hao kinasemekana ni rafu ya Balotelli aliyomchezea mchezaji Scot Sinclair katika mazoezi hayo ya kujiandaa na mechi ya FA Cup dhidi ya Watford.
Home
»
»
ANGALIA PICHA;BREAKING NEWS: MARIO BALOTELLI NA MANCINI WASHIKANA MASHATI MAZOEZINI WATAKA KUZIPIGA
0 comments :
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !